Kwa jina naitwa Revocatus Jacobo Ntumo Bitama nina umri wa miaka 25 Nimezaliw Tabora - Urambo - Kaliua Igagala namba 2 Dini yangu mkristo nina mke na mtoto mmoja aitwae Nejichris Revocatus na mke wangu ni Faustina Majaliwa.
Mimi ni mtoto wa 8 katika familia ya mzee jacobo,nimeanza kujitegemea tangu mwaka 2012 na maisha si mabaya sana!
Nina elimu ya shule ya msingi,secondary na chuo. Kazi yangu ni mkulima.
N INA C H O O M B A W A T A N Z A N I A T U P E N D A N E T U !
No comments:
Post a Comment